LYRICS: Sho Madjozi – Jamani

Auto Draft

LYRICS: Sho Madjozi – Jamani

Nilikufeel jamani
Nilikufeel jamani, hallo
Nilikufeel jamani
Nilikufeel jamani

Nilikufeel jamani
Ata kama niko busy jamani
Nilikufeel jamani
Kukuona itabidi jamani

Ah ni kwanini jamani
Nakuwaza siku hizi jamani
Nakumiss jamani
Nakuuliza wataka mimi na nani

Asa husikilizi jamani
Una simu hunipigii jamani
Ah mi sibelieve jamani
We ni washe usinizime jamani

Asa husikilizi jamani
Una simu hunipigii jamani
Ah mi sibelieve jamani
We ni washe usinizime jamani

DOWNLOAD AUDIO

0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x